0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1008. Riyadhu Swalihina Mlango wa Kupendekezwa kuiboresha Sauti katika kuisoma Qur’ani na kumtaka mwenye sauti mzuri aisome na kumsikiliza


١٨٢- باب استحباب تحسين الصَّوت بالقرآن وطلب القراءة من حَسَن الصوت والاستماع لها


وَعَنْ ابْنِ مَسْعُودٍ رضيَ اللهُ عنهُ قالَ: قَالَ لِي النَّبِيُّ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “اقْرَأْ عَلَيَّ الْقُرْآنَ”، فَقُلْتُ: يَا رَسُولَ اللهِ، أَقْرَأُ عَلَيْكَ وَعَلْيكَ أُنْزِلَ؟! قَالَ:“إِنِّي أُحِبُّ أَنْ أَسْمَعَهُ مِنْ غَيْرِي”فَقَرَأْتُ عَلَيْهِ سُورَةَ النِّسَاءِ حَتَّى جِئْتُ إِلى هذهِ الآيَة: {فَكَيْفَ إِذَا جِئْنَا مِنْ كُلِّ أُمَّةٍ بِشَهِيدٍ وَجِئْنَا بِكَ عَلَى هؤُلاءِ شَهِيدَاً} [النساء: ٤١] قالَ:“حَسْبُكَ الآنَ “فالْتَفَتُّ إِلَيْهِ، فَإِذَا عَيْنَاهُ تَذْرِفَان.   متفقٌ عليه


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



182 MLANGO WA SUNNAH YA KUPENDEKEZWA YA KUIBORESHA SAUTI KATIKA KUISOMA QUR’ẤNI NA KUMTAKA MWENYE SAUTI NZURI AISOME NA KUMSIKILIZA


Imepokewa kutoka kwa ‘Abdullâh bin Mas‘ûd ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesimulia: “Siku moja Mtume ﷺ aliniambia: “Nisomee Qur’âni.”  Nikamwambia: “Yâ Rasûlallâh, nikusomee na ilihali imeteremshwa kwako?!” Akaniambia: “Mimi napenda kuisikia kwa mwenzangu.” Nikaanza kumsomea Sûratun-nisâ, mpaka nikafikia katika Aya hii: “Basi itakuwaje pindi Tukiwaletea kutoka kila umma shahidi, na tukakuleta wewe kuwa shahidi wa hawa?” [4:41]. Akasema: “Sasa yatosha.” Nikamtazama, nikaona macho yake yanabubujika machozi.”     [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ].


Begin typing your search above and press return to search.