0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1007. Riyadhu Swalihina Mlango wa Kupendekezwa kuiboresha Sauti katika kuisoma Qur’ani na kumtaka mwenye sauti mzuri aisome na kumsikiliza


١٨٢- باب استحباب تحسين الصَّوت بالقرآن وطلب القراءة من حَسَن الصوت والاستماع لها


وَعَنْ أَبِي لُبَابَة بَشِير بنِ عَبْدِ المُنْذِرِ رضيَ اللهُ عنهُ، أنَّ النَّبِيَّ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “مَنْ لَمْ يَتَغَنَّ بِالْقُرْآنِ فَلَيْسَ مِنَّا” رواهُ أَبُو داود بإسنادٍ جيدٍ

وَمَعْنَى“يَتَغَنَّى”: يُحْسِنُ صَوْتَهُ بِالْقُرْآنِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



182 MLANGO WA SUNNAH YA KUPENDEKEZWA YA KUIBORESHA SAUTI KATIKA KUISOMA QUR’ẤNI NA KUMTAKA MWENYE SAUTI NZURI AISOME NA KUMSIKILIZA


Imepokewa kutoka kwa Abû Lubâbah, Bashîr bin ‘Abdul-mundhir ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesimulia: “Mtume amesema: “Asiyeisoma Qur’âni kwa sauti nzuri, si miongoni mwetu.”    [ Imepokewa na Abû Dâwûd, isnadi yake ni Jayyid.]


Begin typing your search above and press return to search.