0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1006. Riyadhu Swalihina Mlango wa Kupendekezwa kuiboresha Sauti katika kuisoma Qur’ani na kumtaka mwenye sauti mzuri aisome na kumsikiliza


١٨٢- باب استحباب تحسين الصَّوت بالقرآن وطلب القراءة من حَسَن الصوت والاستماع لها


 وعَنِ الْبَرَاءِ بنِ عَازِبٍ رَضِيَ اللهُ عنهمَا قالَ: سَمِعْتُ النَّبِيَّ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَرَأَ فِي العِشَاءِ بِالتِينِ والزَّيْتُونِ، فَمَا سَمِعْتُ أَحَدَاً أَحْسَنَ صَوْتَاً مِنْهُ.    متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



182 MLANGO WA SUNNAH YA KUPENDEKEZWA YA KUIBORESHA SAUTI KATIKA KUISOMA QUR’ẤNI NA KUMTAKA MWENYE SAUTI NZURI AISOME NA KUMSIKILIZA


Imepokewa kutoka kwa Al-Barâ bin ‘Âzib ( Radhi za Allah ziwe juu yao ) amesema: “Nilimsikia Mtume ﷺ akisoma katika Swala ya ‘Isha Sura Wattîni Wazzaitûn, basi sijawahi kumsikia yeyote mwenye sauti nzuri kama yeye!”   [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ] .


Begin typing your search above and press return to search.