0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1005. Riyadhu Swalihina Mlango wa Kupendekezwa kuiboresha Sauti katika kuisoma Qur’ani na kumtaka mwenye sauti mzuri aisome na kumsikiliza


١٨٢- باب استحباب تحسين الصَّوت بالقرآن وطلب القراءة من حَسَن الصوت والاستماع لها


وعن أَبي موسى الأشْعَرِيِّ رضيَ اللهُ عنهُ أنَّ رسولَ اللهِ صلى الله عليه وسلم قالَ لهُ: ” لَقَدْ أُوتِيتَ مِزْمَارَاً مِنْ مَزَامِيرِ آلِ دَاوُد”    متفقٌ عَلَيْهِ

وفي روايةٍ لمسلمٍ: أنَّ رسولَ اللهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قالَ لهُ: “لَوْ رَأَيْتَنِي وَأَنَا أَسْتَمِعُ لِقِرَاءَتِكَ البارحَةَ”


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



182 MLANGO WA SUNNAH YA KUPENDEKEZWA YA KUIBORESHA SAUTI KATIKA KUISOMA QUR’ẤNI NA KUMTAKA MWENYE SAUTI NZURI AISOME NA KUMSIKILIZA


Imepokewa kutoka kwa Abû Mûsâ al- Ash‘ary ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesimulia: “Mtume alimwambia: “Hakika umepewa sauti nzuri kama aliyopewa (Nabii) Dâwûd.”  [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ] .

Riwaya nyingine ya Muslim imesema: “Lau ungaliniona nami nasikiliza usomaji wako usiku (ungalipendezewa).”


Begin typing your search above and press return to search.