0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

10 DUA BAADA YA KUTAWADHA

KINGA YA MUISLAMU

[أشهد أن لا إله إلا الله وحده لا شريك له ، وأشهد أن محمداً عبده ورسوله]       رواه مسلم1/ 209

[Nakiri kwa moyo na kusema kwaulimi kwamba hapana Mola apasae kuabudiwa  kwa haki ila ni Mwenyezi Mungu , peke yake, wala hana mshirika wake, na ninakiri kwamba Muhammad ﷺ ni mja wake na ni Mtume wake.]        [Imepokewa na Muslim.]

[اللهم اجعلني من التوابين واجعلني من المتطهرين]     الترمذي 1/ 78 وانظر صحيح الترمذي1/ 18

[Ewe Mwenyezi Mungu  nijaaliye niwe miongoni mwa wale wanaoomba  msamaha, na nijaalie miongoni  mwa wale waliosafi.]        [Imepokewa na Al-Tirmidhiy.]

[سبحانك اللهم وبحمدك أشهد أن لا إله إلا أنت أستغفرك وأتوب إليك]     النسائي في عمل اليوم والليلة ص173

[Utakatifu ni Wako, Ewe Mola wangu, na shukurani zote zinarudi Kwako, nakiri kwamba hapana apasae kuabudiwa kwa haki ila ni Wewe, naomba msamaha wako, na narejea kwako (kwa kutubia )]       [Imepokewa na Al-Nasai.]

SIKILIZA DUA BAADA YA KUTAWADHA

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.