0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1. KITABU CHA ADABU. 84. MLANGO WA KUONA HAYA, FADHILA ZAKE NA MAHIMIZO YA KUWA NAYO

باب الحياء وفضله والحث على التخلق به


عن ابن عمر – رضي الله عنهما -: أنَّ رسول الله – صلى الله عليه وسلم – مَرَّ عَلَى رَجُلٍ مِنَ الأنْصَار وَهُوَ يَعِظُ أخَاهُ في الحَيَاءِ، فَقَالَ رسولُ اللهِ – صلى الله عليه وسلم -: {دَعْهُ، فَإنَّ الْحَيَاءَ مِنَ الإيمَانِ }    متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



1- KITABU CHA ADABU

84 – MLANGO: KUONA HAYA, FADHILA ZAKE NA MAHIMIZO YA KUWA NAYO


Imepokewa na Abdullâh bin ‘Umar (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume (ﷺ) alimpitia mtu miongoni mwa Ansari, alikuwa akimpa mawaidha nduguye juu ya kuona haya. Mtume (ﷺ) akamwambia: “Muache, hakika kuona haya ni katika imani.”     [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ].


Begin typing your search above and press return to search.