August 29, 2023        
        
            
            0 Comments        
    
باب الحياء وفضله والحث على التخلق به
عن ابن عمر – رضي الله عنهما -: أنَّ رسول الله – صلى الله عليه وسلم – مَرَّ عَلَى رَجُلٍ مِنَ الأنْصَار وَهُوَ يَعِظُ أخَاهُ في الحَيَاءِ، فَقَالَ رسولُ اللهِ – صلى الله عليه وسلم -: {دَعْهُ، فَإنَّ الْحَيَاءَ مِنَ الإيمَانِ } متفقٌ عَلَيْهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
1- KITABU CHA ADABU
84 – MLANGO: KUONA HAYA, FADHILA ZAKE NA MAHIMIZO YA KUWA NAYO
Imepokewa na Abdullâh bin ‘Umar (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume (ﷺ) alimpitia mtu miongoni mwa Ansari, alikuwa akimpa mawaidha nduguye juu ya kuona haya. Mtume (ﷺ) akamwambia: “Muache, hakika kuona haya ni katika imani.” [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ].