BUSTANI YA WATU WEMA
عن أبي هريرة رضي اللَّه عنه أَن رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال: « بادروا بالأَعْمال سبعاً، هل تَنتَظرونَ إلاَّ فقراً مُنسياً، أَوْ غنيٌ مُطْغياً، أَوْ مرضاً مُفسداً، أَو هرماً مُفْنداً أَو موتاً مُجهزاً أَوِ الدَّجَّال فشرُّ غَائب يُنتَظر، أَوِ السَّاعة فالسَّاعةُ أَدْهى وأَمر،» رواه الترمذي وقال: حديثٌ حسن
Kutoka kwa Abuu Hurayra Radhi za Allah ziwe juu yake kuwa Mtume ﷺ amesema: [Zikimbilieni ‘amali njema kabla haijawafikia mambo saba. Je, mnangoja mpaka mfikwe na ufukara wenye kusahaulisha, au utajiri unaopoteza, au maradhi yenye kufisidi, au uzee uletao udhaifu wa akili, au mauti ya ghafla, au Dajjaal ambaye ndio kiumbe muovu asiyepaswa kusubiriwa, au Kiyama, na Kiyama ndio chenye balaa kubwa na uchungu mwingi zaidi!] [Imepokewa na At-Tirmidhiy, na amesema Hadiyth hii ni Hasan]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله