0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

091. Riyadhu Swalihina Mlango wa Kuyakimbilia Mambo ya Kheri Hadithi ya 05


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن أنس رضي اللَّه عنه ، أَنَّ رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم أَخذَ سيْفاً يوم أُحدٍ فقَالَ: « مَنْ يأْخُذُ منِّي هَذا ؟ فبسطُوا أَيدِيهُم ، كُلُّ إنْسانٍ منهمْ يقُول : أَنا أَنا . قَالَ:«فمنْ يأَخُذُهُ بحقِه ؟ فَأَحْجمِ الْقومُ ، فقال أَبُو دجانة رضي اللَّه عنه : أَنا آخُذه بحقِّهِ ، فأَخَذهُ ففَلق بِهِ هَام الْمُشْرِكينَ». رواه مسلم

اسم أبي دجانة : سماكُ بْنُ خرسة . قولُهُ : «أَحجم الْقوم» : أي توقَّفُوا  و «فَلق بِهِ» : أَي شَق «هام الْمشرِكين» : أَيْ رؤوسهُمْ


Kutoka kwaAnas  Radhi za Allah ziwe juu yake kuwa: Mtume alichukua upanga siku ya Vita vya Uhud. Akauliza: [Ni nani atakayeuchukua upanga huu kutoka kwangu?] Kila mmoja wao akanyoosha mkono akisema: Mimi, mimi. Akawauliza: [Ni nani atakayeuchukua kwa haki yake?] Watu wakasita. Abuu Dujaanah Radhi za Allah ziwe juu yake akasema: Mimi nitauchukua kwa haki yake. Akauchukua, akawa anakata vichwa vya washirikina (katika Jihaad).    [Imepokewa na Muslim]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.