BUSTANI YA WATU WEMA
عَنْ أبي يَعْلَى شَدَّادِ بْن أَوْسٍ رضي اللَّه عنه عن النبي صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : «الكَيِّس مَنْ دَانَ نَفْسَهُ ، وَعَمِلَ لِما بَعْدَ الْموْتِ ، وَالْعَاجِزُ مَنْ أَتْبَعَ نَفْسَه هَواهَا ، وتمَنَّى عَلَى اللَّهِ الأماني » رواه التِّرْمِذيُّ وقالَ حديثٌ حَسَنٌ
قال التِّرْمذيُّ وَغَيْرُهُ مِنَ الْعُلَمَاءِ : مَعْنَى « دَانَ نَفْسَه » : حَاسَبَهَا
Kutoka kwa Abii Ya’alaa Shaddad bin Aws Radhi za Allah ziwe juu yake kutoka kwa Mtume ﷺ amesema: [Mwenye akili ni anaehisabu nafsi yake na akafanya amali itakayomfaa baada ya kufa, na Ajizi (mpumbavu) ni yuke atakaefua hawaa ya nasfi yake kisha akatamani mazuri kwa Mwenyezi Mungu.] [Imepokewa na At Tirmidhi na amesema ni Hadithi Hasan.]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله