0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

063. Riyadhu Swalihina Mlango wa Kumchunga Mungu Hadithi ya 04


BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


عنْ أَنَس رضي اللَّهُ عنه قالَ : « إِنَّكُمْ لَتَعْملُونَ أَعْمَالاً هِيَ أَدقُّ في أَعْيُنِكُمْ مِنَ الشَّعَرِ ، كُنَّا نَعْدُّهَا عَلَى عَهْدِ رسولِ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم مِنَ الْمُوِبقاتِ »     رواه البخاري

وقال : « الْمُوبِقَاتُ » الْمُهْلِكَاتُ


Kutoka kwa Anas Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: [Kwa hakika ninyi mnafanya matendo ambayo machoni mwenu (mnayaona kuwa) ni madogo kulikoni unywele. Kwa hakika matendo hayo tulikuwa tukiyahesabu wakati wa Mtume ﷺ ni matendo yanayoangamiza.]     [Imepokewa na Bukhari]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله





Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.