0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

05 DUA UNAYO MUOMBEA ALIYEVAA NGUO MPYA

KINGA YA MUISLAMU

[ إلبِسْ جَدِيداً وعِشْ حميداً ومُتْ شهيداً ]

ابن ماجه 2/ 1178 والبغوي 12/ 41 وانظر صحيح ابن ماجة2/ 275

[Vaa nguo mpya, na ishi hali ya kuwa ni mwenye kushukuru, na kufa hali ya kuwa ni shahidi.]    

[Imepokewa na Abuu Daudna Al-Bagh awiy]

 [تُبْلي ويَخْلِفُ الله تعالى ]

أخرجه أبو داود 4/ 41 ، وانظر صحيح أبي داود2/ 760

[Itakwisha (kwa kuzeeka na kupasuka) na Mwenyezi Mungu  atakupa nyingine.]       [Imepokewa na Abuu Daud]

DUA UNAYO MUOMBEA ALIYEVAA NGUO MPYA

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.