0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

038. Riyadhu Swalihina Mlango wa Subira Hadithi ya 14


BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


وعن ابْن مسْعُود رضي اللَّه عنه قَالَ : دَخلْتُ عَلى النَبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم وَهُو يُوعَكُ فَقُلْتُ يا رسُولَ اللَّه إِنَّكَ تُوعكُ وَعْكاً شَدِيداً قال : « أَجَلْ إِنِّي أُوعَكُ كَمَا يُوعَكُ رَجُلانِ مِنْكُم» قُلْتُ : ذلك أَنَّ لَكَ أَجْريْن ؟ قال : « أَجَلْ ذَلك كَذَلك مَا مِنْ مُسْلِمٍ يُصِيبُهُ أَذًى ، شوْكَةٌ فَمَا فوْقَهَا إلاَّ كَفَّر اللَّه بهَا سيئاته ، وَحطَّتْ عنْهُ ذُنُوبُهُ كَمَا تَحُطُّ الشَّجرةُ وَرقَهَا »    متفقٌ عليه
وَ « الْوَعْكُ » : مَغْثُ الحمَّى ، وقيل : الْحُمى


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى





Kutoka kwa Abdullaah bin Mas’uwd Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: “Nilingia kwa  Mtume  naye akiwa ana umwa. Nikamwambia: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, hakika wewe unaumwa sana ” Akasema: “Ndiyo, hakika mimi huwa na umwa kama vile watu wawili wanavyoumwa kati yenu.” Nikamuuliza: “Ni kwa vile una ujira mara mbili?” Akasema: [Ndiyo, ni hivyo. Hakuna Muislaamu yoyote anasibiwa na udhia (kuanzia) mwiba na zaidi ya mwiba, isipokuwa Mwneyezi Mungu humsamehe mabaya yake kwa udhia huo, na dhambi zake hupuputishwa kama vile mti unavyopuputika majani yake.]    [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.