0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

03 DUA YA KUVAA NGUO

KINGA YA MUISLAMU

[الحَمْدُ لله الذِي كَساني هذا( الثوب ) ورَزَقَنِيه مِنْ غَيْرِ حَوْلٍ مِنّي ولا قُوةٍ]

أخرجه أهل السنن إلا النسائي انظر إرواء الغليل 7/ 47

[Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu ambae amenivisha nguo hii, na kuniruzuku pasina uwezo kutoka kwangu wala nguvu]

[Imepokewa kwenye vitabu vya Sunna isipokuwa Al-Nasai tazama kitabu Irwaa’i Al-Ghalil cha Sheikh Al-baniy]

SIKILIZA DUA YA KUVAA NGUO

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.