0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

013. Riyadhu Swalihina Mlango wa Tawba Hadithi ya 01


BUSTANI YA WATU WEMA


وعَنْ أبي هُرَيْرَةَ رضي الله عنه قال : سمِعتُ رسول الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يَقُولُ : « واللَّه إِنِّي لأَسْتَغْفرُ الله ، وَأَتُوبُ إِليْه ، في اليَوْمِ ، أَكثر مِنْ سَبْعِين مرَّةً »     رواه البخاري


Kutoka kwa Abuu Hurayrah Radhi za Allah ziwe juu yake asema: Nilimsikia Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ akisema: [Naapa kwa jina la Mwenyezi Mungu hakika yangu mimi namuomba Mwenyezi Mungu msamaha na natubia Kwake zaidi ya mara sabini kwa siku.]     [Imepokewa na Bukhari]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.