0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

005. Riyadhu Swalihina Mlango wa Ikhlas Hadithi ya 05


وَعَنْ أبي يَزِيدَ مَعْنِ بْن يَزِيدَ بْنِ الأَخْنسِ رضي الله عَنْهمْ، وَهُوَ وَأَبُوهُ وَجَدّهُ صَحَابِيُّونَ، قَال: كَانَ أبي يَزِيدُ أَخْرَجَ دَنَانِيرَ يَتصَدَّقُ بِهَا فَوَضَعَهَا عِنْدَ رَجُلٍ في الْمَسْجِدِ فَجِئْتُ فَأَخَذْتُهَا فَأَتيْتُهُ بِهَا . فَقَالَ : وَاللَّهِ مَا إِيَّاكَ أَرَدْتُ ، فَخَاصمْتُهُ إِلَى رسول اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم فَقَالَ: «لَكَ مَا نويْتَ يَا يَزِيدُ ، وَلَكَ مَا أَخذْتَ يَا مَعْنُ »    رواه البخاريُّ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



BUSTANI YA WATU WEMA


Kutoka kwa Abi Yazid Ma’an bin Yazid Al-Akhnas  Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao amesema: Baba yangu Yazid alikuwa amezitoa Dinari akizitolea Sadaka akaziweka kwa mtu Msikitini, nikaja nikazichukua ni kaja nazi (nyumbani). akasema (babangu kuniambi a) ” Wallahi sikuwa na kukusudia wewe” nikashtakiana naye kwa Mtume Akasema (Mtume)  [Utapata ujira wa ulilonuilia ewe Yazid na nichako ulichokitukuwa ewe Ma’ani]   [Imepokelewa na Bukhari]


SIKILIZA SHEREHE YA HADITHI HII NA DR.ISLAM



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.