0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

406. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kumuogopa Mwenyezi Mungu.

 باب الخوف


وعن أَبي ذر – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -: {إنِّي أَرَى مَا لا تَرَوْنَ، أطَّتِ السَّمَاءُ وَحُقَّ لَهَا أنْ تَئِطَّ، مَا فِيهَا مَوضِعُ أرْبَع أصَابعَ إلاَّ وَمَلَكٌ وَاضِعٌ جَبْهَتَهُ سَاجِداً للهِ تَعَالَى. والله لَوْ تَعْلَمُونَ مَا أعْلَمُ، لَضَحِكْتُمْ قَلِيلاً وَلَبَكَيْتُمْ كَثِيراً، وَمَا تَلَذَّذْتُمْ بالنِّساءِ عَلَى الفُرُشِ، وَلَخَرَجْتُمْ إِلَى الصُّعُدَاتِ تَجْأرُونَ إِلَى اللهِ تَعَالَى}

رواه الترمذي، وَقالَ: {حديث حسن}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Dharri (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ amesema: [ Mimi naona msiyoyaona, na nasikia msiyoyasikia. Mbingu imetoa sauti, na ina haki kufanya hivyo. Hakuna mahala upana wa vidole vinne ispokuwa kuna Malaika alieweka kipaji chake ilihali ya kumsujudia Allâh Mtukufu. Wallahi! Lau mnayajua ninayoyajua, mungalicheka kidogo na mukalia sana, wala msingalistarehe na wake zenu juu ya vitanda na mungalitoka hadi njiani mkiomba uokofu kwa Allâh.]  [ Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan.]


Begin typing your search above and press return to search.