MAMBO YANAYO CHUKIZA KATIKA SWALA (MAKRUHATI SWALAT)
SOMO LA FIQHI Suali: Ni nini Makruhi kisheria (jambo la kuchukiza) Jawabu: Kisheria Makruhi ni jambo ambalo ukiliwacha unapata Thawabu na ukilifanya hupati Dhambi. Suali: Ni yapi ... Read More