June 25, 2021
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
وعَنْ أبي هُريْرةَ رضي الله عنه قال : قال رسول الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « مَنْ تاب قَبْلَ أَنْ تطلُعَ الشَّمْسُ مِنْ مغْرِبِهَا تَابَ الله علَيْه » رواه مسلم
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Kutoka kwa Abuu Hurayrah Radhi za Allah ziwe juu yake amesema kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ amesema:[Mwenye kutubia kabla ya jua kuchomoza upande wa magharibi, Mwenyezi Mungu Atamkubalia Tawba yake.] [Imepokewa na Muslim]