June 17, 2021
0 Comments
SAMPULI ZA KURITHI
1. Fardh:– Hiki ni kiwango kilichotajwa katika Qur’ani, hadith na Ijmaa.
2. Ta’aswib:– Kurithi kilichosalia kwa wenye furudh bila kiwango maalum.
3. Raddi:– Kurudisha mali kwa mara ya pili kwa wenye furudh na Aswabat.
4. Rahim:– Ni baadhi ya watu katika jamii wanaorithi baada ya fardh na Taaswib.
Chanzo:UADILIFU WA MIRATHI NDANI YA UISLAMU
Manswab Mahsen Abdul RahmaAl-Ridai Al- Jufry Uk 4