June 16, 2021
0 Comments
NI HARAMU KUTUMIA MAJI YALIOSOMEWA KUJITWAHIRISHA ?
Swali: Je yafaa kutumia maji yaliosomewa na maji ya kawaida katika kujitwahirisha?
Jawabu: Hakuna ubaya wa kutumia maji yalio changanywa katika kujitwahrisha au kutumia sampuli yoyote ile,si dhambi wala mtu hadhuriki kama watu wengi wanavyo dhania.
Na Allah ndie mjuzi zaidi
Chanzo: Islamweb.com