الحديث الثلاثون
“إن الله تعالى فرض فرائض فلا تضيعوها”
عَنْ أَبيِ ثَعْلَبَةَ الخُشَنِيِّ جُرْثُومِ بْن نَاشرٍ رضي الله عنه عَنْ رَسُولِ اللهِ صلى الله عليه وسلم قَالَ
[ إنّ اللهَ تَعَالى فَرَضَ فَرَائِضَ فَلاَ تُضَيّعوهاَ وَحَدَّ حُدُودَاً فَلاتَعْتَدُوهَا وَحَرّمَ أَشْياءَ فَلاَتَنْتَهِكُوهَا وَسَكَتَ عَنْ أَشْيَاءَ رَحْمَةً لَكُمْ غَيْرَ نِسْيانٍ فَلا تَبْحَثُوا عَنْهَا]
حَدِيثٌ حَسَنٌ، رَوَاهُ الدَّارَقُطْنِيّ وَغَيْرُهُ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى
HADITHI YA 30
KUSIMAMA KATIKA MIPAKA YA MWENYEZI MUNGU
Kutoka kwa Abu Tha’alaba Al-Khushani Jurthuum Ibn Naashib Radhi za Allah ziwe juu yake naye kapokea kwa Mtume ﷺ: [Mwenyezi Mungu amefaridhisha mambo ya dini kwa hivyo usiyapuuze. Vile vile kaweka mipaka usiikiuke. Amekataza baadhi ya mambo kwa hivyo usifanye. Yale aliyoyanyamazia ni kwa ajili ya huruma zake kwako wala hakusahau kwa hivyo usiyadadisi.]
[Imepokelewa na Daaraqutni na wengineo . Hadithi Hasan]