June 20, 2021
0 Comments
UTAJO UNAOSOMWA KATIKA KIKAO
Imepokelewa kutoka kwa Ibn Omar amesema : “Alikuwa akihisabiwa Mtume ﷺ kusoma kwake dua hii katika kikao kimoja ikifika idadi ya mara mia kabla hajasimama”
[ رَبِّ اغْفِـرْ لي، وَتُبْ عَلَـيَّ، إِنَّكَ أَنْـتَ التَّـوّابُ الغَـفُورُ ]
[Mwenyezi Mungu nisamehe na nikubalie toba yangu, hakika Wewe ni mwingi wa kukubali toba, mwingi wa kusamehe] [Imepokewa na Al-Ttirmidhiy.]
UTAJO UNAOSOMWA KATIKA KIKAO