باب بر الوالدين وصلة الأرحام
وعن أَبي عبد الله عمرو بن العاص – رضي الله عنهما -، قَالَ: سمعت رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم – جِهَاراً غَيْرَ سِرٍّ، يَقُولُ: {إنَّ آل بَني فُلاَن لَيْسُوا بِأولِيَائِي، إِنَّمَا وَلِيِّيَ اللهُ وَصَالِحُ المُؤْمِنينَ، وَلَكِنْ لَهُمْ رَحِمٌ أبُلُّهَا بِبلاَلِهَا} مُتَّفَقٌ عَلَيهِ، واللفظ للبخاري
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa kutoka kwa Abdullâh bin ‘Amri bin al-‘Âs Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: “Nilimsikia Mtume ﷺ akisema waziwazi bila kuficha: [Hakika jamaa ya Banî fulani si rafiki zangu. Hakika rafiki yangu ni Allâh na walio wema katika Waumini. Lakini wao wana kizazi (undugu/uhusiano), nitauunga.] [ Wameafikiana Bukhari na Muslim na hii ni kwa ladhi ya Bukhari]