June 29, 2022
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
وعن أسامة بن زيد – رضي الله عنهما -، عن النَّبيّ – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: {مَا تَرَكْتُ بَعْدِي فِتْنَةً هِيَ أضَرُّ عَلَى الرِّجَالِ مِنَ النِّساء} مُتَّفَقٌ عَلَيهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa kutoka kwa Usâmah bin Zaid Radhi za Allah ziwe juu yake amepokea: “Mtume ﷺ amesema: [Sikuwacha fitna baada yangu yalio na madhara zaidi kwa wanaume kama wanawake.] [Wameafikiana Bukhari na Muslim]