BUSTANI YA WATU WEMA
وعن أُمِّ كُلْثُومٍ بنتِ عُقْبَةَ بن أَبي مُعَيْطٍ رضي اللَّه عنها قالت : سمِعْتُ رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يَقُولُ : « لَيْسَ الْكَذَّابُ الذي يُصْلحُ بَيْنَ النَّاسِ فَيَنْمي خَيْراً ، أَوْ يَقُولُ خَيْراً » متفق عليه
وفي رواية مسلمٍ زيادة ، قالت : وَلَمْ أَسْمَعْهُ يُرَخِّصُ في شَيْءٍ مِمَّا يَقُولُهُ النَّاسُ إِلاَّ في ثَلاثٍ، تَعْنِي : الحَرْبَ ، وَالإِصْلاَحَ بَيْنَ النَّاسِ ، وَحَدِيثَ الرَّجُلِ امْرَأَتَهُ ، وَحَديثَ المَرْأَةِ زَوْجَهَ
Kutoka kwa Ummu Khalthum bin Uqbah (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: Nilimsikia Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ Akisema: [Hajasema uongo yule mwenye kusuluhisha baina ya watu ukawa unasambaza (habari ya) Kheri, au anasema Kheri] [Imepokewa na Bukhari na Muslim]
Na katika riwaya ya Muslim muna ziada inayosema Akasema: [Wala sikumsikia akiruhusu chochote katika uongo wanaosema watu isipokuwa katika mambo matatu] Yaani katika Vita kusuluhisha baina ya watu, mwanamume kuzungumza na Mkewe na mke kuzungumza na Mumewe
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى