BUSTANI YA WATU WEMA
وعن أَبي أُمَامةَ إِيَاسِ بنِ ثعْلَبَةَ الْحَارِثِيِّ رضي اللَّه عنه أَن رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال: « مَنِ اقْتَطَعَ حَقَّ امْريءٍ مُسْلمٍ بيَمِينِهِ فَقدْ أَوْجَبَ اللَّه لَه النَّارَ ، وَحَرَّمَ عَلَيْهِ الْجَنَّةَ » فقال رجُلٌ : وإِنْ كَانَ شَيْئاً يسِيراً يا رسولَ اللَّه ؟ فقال : « وإِنْ قَضِيباً مِنْ أَرَاكٍ » رواه مسلم
Kutoka kwa Abuu Umaamah Iyaas bin Tha’labah Al-Haarithiy Radhi za Allah ziwe juu yake kwamba Mtume ﷺ amesema: [Mwenye kuchukua haki ya mtu Muislamu kwa kuapa kiapo cha urongo imewajibika kwa Mwenyezi Mungu kumuingiza motoni na kumharamishia Pepo.] Mtu mmoja akasema: “Hata kikiwa kitu kidogo Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu? Akasema: [Hata kikiwa ni kipande cha Msuwaki.] [Imepokewa na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله