BUSTANI YA WATU WEMA
{وقال تعالى : {وَتَعَاوَنُوا عَلَى الْبِرِّ وَالتَّقْوَىٰ
{وقال تعالى : {وَالْعَصْرِ إِنَّ الْإِنسَانَ لَفِي خُسْرٍ إِلَّا الَّذِينَ آمَنُوا وَعَمِلُوا الصَّالِحَاتِ وَتَوَاصَوْا بِالْحَقِّ وَتَوَاصَوْا بِالصَّبْرِ
قال الإمام الشافعي رحمه اللَّه كلاماً معناه: إن الناس أو أكثرهم في غفلة عن تدبر هذه السورة
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Na saidianeni katika wema na uchamngu] [Suurat Al-Maida:2]
Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Naapa kwa Zama!Hakika binaadamu bila ya shaka yumo katika khasara,Ila wale walio amini, na wakatenda mema, na wakausiana kwa haki, na wakausiana kusubiri.] [Surat Al-A’s’r: 1-3]
Amesema Imamu Shafi Mungu amarahamu maneno Maana yake: “Hakika ya watu au wengi wao wako katika mughafala na kuizingatia Sura hii”
شرح مقدمة الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله