June 25, 2021
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
عن أَبي هريرة ، رضي اللَّه عنه ، أن رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : « آيَةُ المُنَافِقِ ثَلاثٌ: إِذَا حَدَّثَ كَذَبَ ، وَإِذَا وَعَدَ أَخْلَفَ ، وإِذَا آؤْتُمِنَ خَانَ » متفقٌ عليه
«وفي رواية : « وَإِنْ صَامَ وَصَلَّى وزعَمَ أَنَّهُ مُسْلِمٌ
Kutoka kwa Abuu Hurayra Radhi za Allah ziwe juu yake ya kwamba Mtume ﷺ amesema: [Alama za mtu mnafiki ni tatu: Akizungmza husema uwongo, na napoahidi hatakelezi, na anapoaminiwa hufanya khiyana] [Imepokewa na Bukhari na Muslim]
Na katika Riwaya nyingine: [Japokuwa atafunga na kuswali na akadai kuwa yeye ni Muislamu.]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله