BUSTANI YA WATU WEMA
عن ابن عباس رضي اللَّه عنهما أَن رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم رأى خَاتماً مِنْ ذَهَبٍ في يَد رَجُلٍ ، فَنَزعَهُ فطَرحَهُ وقَال : « يَعْمَدُ أَحَدُكُمْ إِلَى جَمْرَةٍ مِنْ نَارٍ فَيجْعلهَا في يَدِهِ ، » فَقِيل لِلرَّجُل بَعْدَ مَا ذَهَبَ رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : خُذْ خَاتمَكَ ، انتَفعْ بِهِ . قَالَ : لا واللَّه لا آخُذُهُ أَبَداً وقَدْ طَرحهُ رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم . رواه مسلم
Kutoka kwa Ibn ‘Abbas Radhi za Allah ziwe juu yake kwamba: Mtume ﷺ aliona pete ya Dhahabu katika kidole cha mtu. Akamtoa (katika kidole chake) na kuitupa. Kisha Akasema: [Anakusudia Mmoja kuliweka kaa la moto katika mkono wake!(kidole chake)] Akaambiwa yule mtu baada ya kuondoka Mtume ﷺ. Ichukue pete yako na ufaidike nayo. Akasema: Hapana! Naapa kwa Jina la Mwenyezi Mungu, siichukui kabisa baada ya kutupwa na Mtume ﷺ. [Imepokewa na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله