June 25, 2021
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
وعن أَبِي سعيدٍ الخُدْرِيِّ رضي اللَّه عنهُ أَنَّ رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم ، بَعَثَ بَعْثاً إِلى بَني لِحيانَ مِنْ هُذَيْلٍ فقالَ : « لِيَنْبعِثْ مِنْ كُلِّ رَجُلَيْنِ أَحَدُهُمَا وَالأَجْرُ بَيْنَهُمَا » رواه مسلم
Kutoka kwa Abuu Sa’iyd Al-Khudriy Radhi za Allah ziwe juu yake ya kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ alituma kikosi kwa kabila la Lihyaan wa ukoo wa Hudhayl, akasema: [Atoke katika kila watu wawili mtu mmoja na ujira (thawabu) ni baina yao.] [Imepokewa na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله