BUSTANI YA WATU WEMA
{قال اللَّه تعالى : {وَمَا آتَاكُمُ الرَّسُولُ فَخُذُوهُ وَمَا نَهَاكُمْ عَنْهُ فَانتَهُوا
{وقال تعالى : {وَمَا يَنطِقُ عَنِ الْهَوَىٰ إِنْ هُوَ إِلَّا وَحْيٌ يُوحَىٰ
{وقال تعالى : {قُلْ إِن كُنتُمْ تُحِبُّونَ اللَّهَ فَاتَّبِعُونِي يُحْبِبْكُمُ اللَّهُ وَيَغْفِرْ لَكُمْ ذُنُوبَكُمْ
{وقال تعالى : {فَلَا وَرَبِّكَ لَا يُؤْمِنُونَ حَتَّىٰ يُحَكِّمُوكَ فِيمَا شَجَرَ بَيْنَهُمْ ثُمَّ لَا يَجِدُوا فِي أَنفُسِهِمْ حَرَجًا مِّمَّا قَضَيْتَ وَيُسَلِّمُوا تَسْلِيمًا
{وقال تعالى : {فإن تنازعتم في شيء فردوه إلى اللَّه والرسول إن كنتم تؤمنون بالله واليوم الآخر
{وقال تعالى : {مَّن يُطِعِ الرَّسُولَ فَقَدْ أَطَاعَ اللَّهَ
{وقال تعالى : {وَإِنَّكَ لَتَهْدِي إِلَىٰ صِرَاطٍ مُّسْتَقِيمٍ
{وقال تعالى : {فَلْيَحْذَرِ الَّذِينَ يُخَالِفُونَ عَنْ أَمْرِهِ أَن تُصِيبَهُمْ فِتْنَةٌ أَوْ يُصِيبَهُمْ عَذَابٌ أَلِيمٌ
{وقال تعالى : {وَاذْكُرْنَ مَا يُتْلَىٰ فِي بُيُوتِكُنَّ مِنْ آيَاتِ اللَّهِ وَالْحِكْمَةِ
والآيات في الباب كثيرة
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Na anacho kupeni Mtume chukueni, na anacho kukatazeni jiepusheni nacho.] [Suuratul Al H’ashri:7]
Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Wala hatamki kwa matamanio.Hayakuwa haya ila ni ufunuo ulio funuliwa;] [Suurat Annajm:3-4]
Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Sema: Ikiwa nyinyi mnampenda Mwenyezi Mungu basi nifuateni mimi, Mwenyezi Mungu atakupendeni na atakufutieni madhambi yenu.] [Suurat Al ‘Imran:31]
Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[La! Naapa kwa Mola wako Mlezi! Hawataamini mpaka wakufanye wewe ndiye muamuzi katika yale wanayo khitalifiana, kisha wasione uzito katika nyoyo zao juu ya hukumu utayo toa, na wanyenykee kabisa.] [Surat An-Nisaai:65]
Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Na mkizozana katika jambo basi lirudisheni kwa Mwenyezi Mungu na Mtume, ikiwa mnamuamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho.] Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Basi nawatahadhari wanao khalifu amri yake, usije ukawapata msiba au ikawapata adhabu chungu.] [Surat An-Nur:63] [Surat An-Nisaai:59]
Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Mwenye kumt’ii Mtume basi ndio amemt’ii Mwenyezi Mungu] [Surat An-Nisaai:80]
Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Na hakika wewe unaongoa kwenye Njia Iliyo Nyooka] [Suuratul Ash-shuura:52]
Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Na kumbukeni yasomwayo majumbani mwenu katika Aya za Mwenyezi Mungu na hikima] [Al-Ah’zab:34]
Na Aya katika Mlango huu ziko Nyingi.
شرح مقدمة الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله
تتمة التعليق على آيات الباب