BUSTANI YA WATU WEMA
عن أَبِي هريرة رضي اللَّه عنه النبي صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : «إِنَّ الدِّينَ يُسْرٌ ، ولنْ يشادَّ الدِّينُ إلاَّ غَلَبه فسدِّدُوا وقَارِبُوا وَأَبْشِرُوا ، واسْتعِينُوا بِالْغدْوةِ والرَّوْحةِ وشَيْءٍ مِن الدُّلْجةِ » رواه البخاري
«وفي رواية له « سدِّدُوا وقَارِبُوا واغْدوا ورُوحُوا ، وشَيْء مِنَ الدُّلْجةِ ، الْقَصْد الْقصْد تَبْلُغُوا
Kutoka kwa Abuu Hurayra Radhi za Allah ziwe juu yake kutoka kwa Mtume ﷺ Amesema: [Hakika Dini ni nyepesi, wala hakuna atakayetia uzito katika Dini ispokuwa itamshinda, basi fanyeni kwa wastani, na karibieni katika ukamilifu na toeni bishara njema na ombeni msaada katika nyakati za asubuhi na jioni na baadhi katika nyakati za usiku.] [Imepokewa na Bukhari]
na katika Riwaya nyingine ya Bukhariy imesema: [Karibieni katika ukamilifu, fanyeni wastani, na wahini nyakati za asubuhi, jioni na baadhi ya nyakati za usiku, kwa wastani wastani, mtafikia (malengo).]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله