BUSTANI YA WATU WEMA
عن أَبِي هريرة رضي اللَّه عنه قال : قال رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « ألا أدلُّكَم على ما يَمْحُو اللَّهُ بِهِ الْخَطايا ، ويرْفَعُ بِهِ الدَّرجاتِ ؟ » قالوا : بلى يا رسُولَ اللَّهِ ، قال : « إسباغ الْوُضوءِ على الْمَكَارِهِ وكَثْرةُ الْخُطَا إِلَى الْمسَاجِدِ ، وانْتِظَارُ الصَّلاةِ بعْدِ الصَّلاةِ ، فَذلِكُمُ الرّبَاطُ » رواه مسلم
Kutoka kwa Abuu Hurayrah Radhi za Allah ziwe juu yake amepokea kutoka kwa Mtume ﷺ Amesema: [Jee, niwajulishe jambo ambalo Mwenyezi Mungu Hufuta dhambi kwa sababu yake na Hupandisha daraja kwa sababu yake?] Wakasema: Tujulishe Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu. Akawaambia: [Kutawadha vizuri wakati wa kuwa karaha, kwenda hatua nyingi Msikitni, na kuingojea Swala baada ya Swala. Basi kufanya hayo ndio ar-ribaatwh (kujifunga katika njia ya Mwenyezi Mungu).] [Imepokewa na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله