June 25, 2021
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
وَعَنْ أبي عمرو ، وقيل أبي عمْرة سُفْيانَ بنِ عبد اللَّه رضي اللَّه عنه قال: قُلْتُ : يا رسول اللَّهِ قُلْ لِي في الإِسلامِ قَولاً لا أَسْأَلُ عنْه أَحداً غيْركَ . قال: « قُلْ : آمَنْت باللَّهِ: ثُمَّ اسْتَقِمْ » رواه مسلم
Kutoka kwa Abuu ‘Amru, Sufyaan bin ‘Abdillaah Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Nilimwambia Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ: niambie neno katika Uislamu ambalo sitamuuliza yoyote mwengine. Akasema: [Sema: Nimemuamini Mwenyezi Mungu, kisha uwe na Msimamo.] [Imepokewa na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى