June 25, 2021
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
عنْ أَنَس رضي اللَّهُ عنه قالَ : « إِنَّكُمْ لَتَعْملُونَ أَعْمَالاً هِيَ أَدقُّ في أَعْيُنِكُمْ مِنَ الشَّعَرِ ، كُنَّا نَعْدُّهَا عَلَى عَهْدِ رسولِ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم مِنَ الْمُوِبقاتِ » رواه البخاري
وقال : « الْمُوبِقَاتُ » الْمُهْلِكَاتُ
Kutoka kwa Anas Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: [Kwa hakika ninyi mnafanya matendo ambayo machoni mwenu (mnayaona kuwa) ni madogo kulikoni unywele. Kwa hakika matendo hayo tulikuwa tukiyahesabu wakati wa Mtume ﷺ ni matendo yanayoangamiza.] [Imepokewa na Bukhari]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله