0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

059. Riyadhu Swalihina Mlango wa Ukweli Hadithi ya 06

BUSTANI YA WATU WEMA


عن أبي خالدٍ حكيمِ بنِ حزَامٍ . رضِيَ اللَّهُ عنه ، قال : قال رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « الْبيِّعَان بالخِيارِ ما لم يَتفرَّقا ، فإِن صدقَا وبيَّنا بوُرِك لهُما في بَيعْهِما ، وإِن كَتَما وكذَبَا مُحِقَتْ بركةُ بيْعِهِما »    متفقٌ عليه


Kutoka kwa Abuu Khaalid, Hakiym bin Hizaam Radhi za Allah ziwe juu yake amesema:  Amasema Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ : [Wenye kuuziana wapo katika khiyari kabla hawajaachana. Watakaposema kweli na wakabainisha (kasoro au upungufu wa bidhaa), watabarikiwa katika biashara yao. Na wakificha na wakasema uongo; basi itaondolewa baraka ya biashara yao.]   [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله




Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.