June 25, 2021
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
وَعن أبي يحْيَى أُسَيْدِ بْنِ حُضَيْرٍ رضي اللَّهُ عنهُ أَنَّ رَجُلاً مِنَ الأَنْصَارِ قال : يا رسولَ اللَّهِ أَلا تَسْتَعْمِلُني كَمَا اسْتْعْملتَ فُلاناً وفلاناً فَقَالَ : « إِنَّكُمْ سَتَلْقَوْنَ بَعْدي أَثَرَةً فاصْبِرُوا حَتَّى تلقَوْنِي علَى الْحوْضِ » متفقٌ عليه
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Kutoka kwaAbuu Yahyaa, Usayd bin Hudhwayr Radhi za Allah ziwe juu yake amesema:Kwamba Mtu mmoja katika Answaari alimwambia Mtume ﷺ : “Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, mbona hunifanyi kuwa kiongozi kama ulivyomfanya fulani?” Akamwambia: [Hakika baada yangu mtaona ubinasfi, basi subirini mpaka mkutane nami katika hodhi.] [Imepokewa na Bukhari na Muslim]