BUSTANI YA WATU WEMA
{قَالَ اللَّه تعالى : {الَّذِي يَرَاكَ حِينَ تَقُومُ وَتَقَلُّبَكَ فِي السَّاجِدِينَ
{وقَالَ تعالى : {وَهُوَ مَعَكُمْ أَيْنَ مَا كُنتُمْ
{وقَالَ تعالى : {إِنَّ اللَّهَ لَا يَخْفَىٰ عَلَيْهِ شَيْءٌ فِي الْأَرْضِ وَلَا فِي السَّمَاءِ
{وقَالَ تعالى : {إِنَّ رَبَّكَ لَبِالْمِرْصَادِ
{وقَالَ تعالى : {يَعْلَمُ خَائِنَةَ الْأَعْيُنِ وَمَا تُخْفِي الصُّدُورُ
والآيات في الباب كثيرة معلومة
مقدمة باب المراقبة
التعليق على آيات الباب مع فضيلة الشيخ خالد السبت حفظه الله تعالى
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Ambaye anakuona unapo simama,Na mageuko yako kati ya wanao sujudu.] [Suurat Shu’araa:218-219]
Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Naye (Mwenyezi Mungu) yu pamoja nanyi popote mlipo] [Suuratul Al H’adiid:4]
Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Hakika Mwenyezi Mungu hakifichiki chochote kwake, duniani wala mbinguni] [Suurat Al ‘Imran:5]
Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Hakika Mola wako Mlezi yupo kwenye mavizio anawavizia.] [Surat Al-Fajr:14]
Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[(Mwenyezi Mungu) anajua khiyana ya macho na yanayo ficha vifua.] [Ghaafir:19]
Na Aya katika Mlango huu ni nyini na zajulikana.