وَعَنْ أبي يَزِيدَ مَعْنِ بْن يَزِيدَ بْنِ الأَخْنسِ رضي الله عَنْهمْ، وَهُوَ وَأَبُوهُ وَجَدّهُ صَحَابِيُّونَ، قَال: كَانَ أبي يَزِيدُ أَخْرَجَ دَنَانِيرَ يَتصَدَّقُ بِهَا فَوَضَعَهَا عِنْدَ رَجُلٍ في الْمَسْجِدِ فَجِئْتُ فَأَخَذْتُهَا فَأَتيْتُهُ بِهَا . فَقَالَ : وَاللَّهِ مَا إِيَّاكَ أَرَدْتُ ، فَخَاصمْتُهُ إِلَى رسول اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم فَقَالَ: «لَكَ مَا نويْتَ يَا يَزِيدُ ، وَلَكَ مَا أَخذْتَ يَا مَعْنُ » رواه البخاريُّ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
BUSTANI YA WATU WEMA
Kutoka kwa Abi Yazid Ma’an bin Yazid Al-Akhnas Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao amesema: Baba yangu Yazid alikuwa amezitoa Dinari akizitolea Sadaka akaziweka kwa mtu Msikitini, nikaja nikazichukua ni kaja nazi (nyumbani). akasema (babangu kuniambi a) ” Wallahi sikuwa na kukusudia wewe” nikashtakiana naye kwa Mtume Akasema (Mtume) [Utapata ujira wa ulilonuilia ewe Yazid na nichako ulichokitukuwa ewe Ma’ani] [Imepokelewa na Bukhari]
SIKILIZA SHEREHE YA HADITHI HII NA DR.ISLAM