0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

VIGAWANYO VYA UAMUZI

Vigawanyo vya uamuzi:
Uamuzi una vigawanyo vifuatavyo:
Mwanzo: Uamuzi wa mkao (majlis):Nayo ni sehemu ambayo Uuzaji inafanyika, hapa muuzaji na mnunuzi wana uamuzi wa kufanya au kutofanya biashara maadamu hawajatengana kati yao; kwa hadithi ya Ibn Omar Mwenyezi Mungu awaele radhi

 [المُتَبَايِعَانِ كُلُّ وَاحِدٍ مِنْهُمَا بِالخِيَارِ عَلَى صَاحِبِهِ مَا لَمْ يَتَفَرَّقَا ]     رواه البخاري ومسلم

[Muuzaji na Mnunuzi kila mmoja kati yao ana uamuzi maadamu hawajatengana].  [imepokewa na Bukhari (21112) na Muslim (1531).]

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.