June 17, 2021
0 Comments
Suala la nne: Uamuzi katika biashara.
Uamuzi: Kwa kila muuzaji na mnunuzi ana haki ya kufunga mkataba wa Uuzaji au kuvunja huo mkataba.
Mbali na hayo hairuhusiwi kuvunja mkataba wa Kuuza na kununuwa ikiwa nguzo na masharti ya Uuzaji yametimia. Lakini dini ya usilamu ni dini ya huruma, inajali matatizo na masilahi ya watu wote. Kwa ajili hii, muislamu akiuza bidhaa au akinunua kisha akajutia baada ya hapo, uislamu umemruhusu kuregelea bidhaa yake/pesa yake baada ya kuchukua uamuzi wa sawa.