0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

KITABU CHA NIDHAMU YA KULA CHAKULA

100. MLANGO WA KUPIGA BISMILLÂHI MWANZO NA KUHIMIDI MWISHO WA KULA

كتاب أدب الطعام
– باب التسمية في أوله والحمد في آخره


وعن عُمَرَ بنِ أبي سَلمة – رضي الله عنهما -، قَالَ: قَالَ لي رسول الله – صلى الله عليه وسلم -: { سَمِّ اللهَ، وَكُلْ بِيَمِينكَ، وكُلْ مِمَّا يَليكَ}      متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



KITABU CHA NIDHAMU YA KULA CHAKULA
MLANGO WA KUPIGA BISMILLÂHI MWANZO NA KUHIMIDI MWISHO WA KULA


Imepokewa na ‘Umar bin Abû Salamah (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume (ﷺ)  aliniambia: [ Piga Bismillâhi, kula kwa mkono wako wa kulia na kula kilicho mbele yako.]   [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ]

Begin typing your search above and press return to search.