FADHLA YA KUMSWALIA MTUME ﷺ Anasema Mwenyezi Mungu alietukuka katika kitabu chake kitukufu: {إِنَّ اللَّهَ وَمَلَائِكَتَهُ يُصَلُّونَ عَلَى النَّبِيِّ ۚ يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا صَلُّوا ... Read More
KUJILA ZIMISHA NA SUNNAH Shukrani za dhati ni za Mwenyezi Mungu Subhaanahu wa Taala Bwana wa viumbe vyote. Na rehma na amani zimfikie Mtume Muhammad. Swalla ... Read More
KUJIANDAA NA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI Mwenyezi Mungu Subhaanahu wa Taala Ametuwekea misimu mbali mbali na kwa minaajili ya kuipatiliza misimu hiyo kwa kurudi kwa ... Read More
KUTAHADHARI NA UZUSHI KATIKA DINI Shukrani za dhati ni za Mwenyezi Mungu Subhaanahu wa Taala Aliyesema: {الْيَوْمَ أَكْمَلْتُ لَكُمْ دِينَكُمْ وَأَتْمَمْتُ عَلَيْكُمْ نِعْمَتِي وَرَضِيتُ لَكُمُ ... Read More
SIKU YA IJUMAA NA HUKMU ZAKE Hakika Mwenyezi Mungu ﷻ huumba atakavyo na huchagua atakavyo. Amesema Mwenyezi Mungu ﷻ: {وَرَبُّكَ يَخْلُقُ مَا يَشَاءُ وَيَخْتَارُ ۗ مَا كَانَ لَهُمُ ... Read More
UFAHAMU WA IBAADA KATIKA UISLAMU Kumuabudu Mwenyezi Mungu ndio hikma kubwa ya kuumbwa kwa binaadamu. Na ibada ni kuelekea kwa Mungu katika hali zako zote ... Read More
UMUHIMU WA DUA Viumbe vyote vinamuhitaji Mola wao katika kupata manufaa yao au kuzuia madhara yasiwafikie, kwa lengo la maisha yao hapa Duniani na kesho ... Read More
UMUHIMU WA SWALA Dini ya kiislamu ambayo Mwenyezi Mungu ameitukuza na kuridhia nayo, na ameweka malipo makubwa kwa vile vinavyotamani nafsi na uislamu umejengwa na ... Read More
FADHLA ZA SIKU KUMI ZA MWEZI WA MFUNGO TATU Mwenyezi Mungu Alipomuumba mwanadamu ili aje afanye ibada na Akaumba Pepo na Moto, kwa mwenye kutwii ... Read More
FADHLA ZA KUSOMA QUR’ANI TUKUFU Ewe Muislamu ulipoumbwa na ukaletwa hapa Duniani uliwekewa katiba na mfumo wa kuishi na njia ya kupita mwanzo mpaka mwisho, ... Read More
Begin typing your search above and press return to search.