Baada ya Mtume (ﷺ) kuhama na kwenda Madina, na kuwa na uhakika wa kukita misingi ya jamii mpya ya Kiislamu kwa kusimamisha umoja wa kiitikadi, ... Read More
Visa na Kejeli za Makuraishi dhidi ya Waislamu baada ya Hijra, na Mawasiliano yao na Abdillah bin Ubay. Tumekwisha kutaja mambo yaliyokuwa yakitendwa na makafiri ... Read More
Ulifika wakati Saad bin Muadhi aliondoka Madina kuelekea Makka kwa madhumuni ya kwenda kutekeleza ibada ya Umrah na alipofika huko alifikia kwa Umayya bin Khalaf, ... Read More
Ruhusa ya Kupigana Mazingira haya ya hatari yalikuwa yanatishia kuwepo kwa Waislamu pale Madina. Makuraishi waliendelea na uovu na uasi wao dhidi ya Waislamu. Mwenyezi ... Read More
Kwa ajili ya kutekeleza mipango hii miwili, Waislamu walianza harakati za kijeshi kwa vitendo. Baada ya kushuka ruhusa ya kupigana, walisimama na kuanza harakati za ... Read More
Hali ya Vikosi Hivi Ilikuwa kama Ifuatavyo: 1) Kikosi cha Saifu Al-Bahri, Mnamo mwezi wa Ramadhani mwaka wa 1 A.H., sawa na mwaka 623 C.E, ... Read More