KUZALlWA KWAKE, KUKUA KWAKE NA FADHILA ZAKE Jina lake ni Ali ibn Abi Talib ibn Abdul-Muttwalib ibn Hashirn ibn Abdi Manaf AI-Qurashy. Ali (r.a.) alikuwa binamu wa ... Read More
KUJITOLEA MUHANGA WAKATI WA HIJRA YA BWANA MTUME ﷺ Alipohama Mtume ﷺ kutoka Makkah kwenda Madinah alimwambia Ali (r.a.) alale kwenye kitanda chake na ajifunike shuka yake. Akawa ‘Ali ... Read More
MAISHA YAKE KATIKA UHAI WA MTUME ﷺ Mtume ﷺ alimuoza ‘Ali (r.a.) binti yake, Fatimah (r.a.), katika mwaka wa pili wa hijra. Akamtayarishia nguo laini na mto wa ngozi ambao uliwekwa majani ... Read More
KUZALIWA KWAKE, KUKUA KWAKE Jina lake ni ‘Uthman ibn ‘Affan ibn Abi-AI-‘As ibn Umayyah ibn ‘Abdush-Shams ibn ‘Abdu Manafi AI-Qurayshy. Jina la mama yake ni Arwa bint ... Read More
MAISHA YAKE WAKATI WA MTUME ﷺ ‘Uthman alikuwa miongoni mwa marafiki wa Abu Bakar (r.a.). Walikuwa katika kikao siku moja, akawa Abu Bakar (r.a.) anamfafanulia uzuri wa ... Read More
KUZALIWA KWA ‘UMAR (R.A.) KUKUWA KWAKE Jina lake ni ‘Umar ibn Al-Khattab ibn Nufayl. Kutoka katika Bani ‘Adiy ibn Ka’ab. Na mama yake ni Hantamah bint Hashim ibn ... Read More
KUSILIMU KWA ‘UMAR IBN AL KHATTWAB (R.A.) Alipotumilizwa Mtume ﷺ na kutangaza Uislamu kwa watu, basi waliingia wenye kuingia katika Uislamu. Na miongoni mwao katika jamii yake ni ... Read More
KUHAMA KWA ‘UMAR (R.A.) KUELEKEA MADINAH Muda yalipozidi maudhi ya Maquraish juu ya waislamu. na wakaruhusiwa kuhamia Yathrib (Madinah), walianza kuhamia huko kwa siri huku wakijificha ... Read More
MAISHA YA ‘UMAR (R.A.) KATIKA ZAMA ZA UTUME Alikuwa ‘Umar (r.a.) ni mshauri wa Mtume ﷺ kama alivyokuwa Abu Bakar (r.a.). Na alikuwa akiwa na Mtume ﷺ mda wote. Na alishuhudia vita ... Read More
DARAJA YA MASAHABA KATIKA UISLAMU Ni nani Sahaba? Sahaba ni kila aliyekutana na Mtume ﷺ na akamuamini na akafa juu ya imani ya UIslamu. Mwenyezi Mungu aliyetukuka amewasifu ... Read More