SOMO LA FIQHI Sharti tunazozikusudia hapa ni zile sharti za kusihi Swala. Kwanza kabisa tufahamishe Maana ya sharti : Sharti ya kitu ni lile jambo ... Read More
MASHARTI YA KUWAJIBIKA KUSWALI Swala imemuwajibikia kila Muislamu aliyebaleghe (mkubwa) mwenye akili timamu. Zitakapopatikana na kutimia kwa mtu sifa tatu hizi:- 1. Uislamu. 2. Kufikia ... Read More
SOMO LA FIQHI Suala: Ni Maana ya nguzo.? Jawabu: Nguzo ya kitu ni ile sehemu ya msingi ya kitu hicho kama vile kuta, na msingi katika nyumba. ... Read More
SOMO LA FIQHI Suali: Nguzo za Swala ni ngapi? Jawabu: Nguzo za Swala ni 14 nazo ni kama zifuatavyo: 1. Kutia Nia Na nia Mahala pake ni moyoni ... Read More
SOMO LA FIQHI Suali: Ni zipi waajibati za Swala? Jawabu: Ni lile jambalo ambalo ni wajibu kulifanya au kusema katika Swala,na lau mtu ataacha kwa kukusudia basi ... Read More
SUNNA ZA ADHANA Kumesuniwa katika adhana kufanya mambo yafuatayo:- 1. KUELEKEA QIBLAH: Ni sunna kwa muadhini kuelekea Qiblah wakati wa kuadhini, kwa sababu bora ya ... Read More
SOMO LA FIQHI Amesema Mtume ﷺ: [صَلُّوا كَمَا رَأَيْتُمُونِي أُصَلِّي] متفق عليه [Swalini kama munavoniona mimi nikiswali] [Imepokewa na Bukhari na Muslim] Aisha ... Read More
SHARTI ZA KUSIHI ADHANA Ili adhana iweze kusihi na kuzingatiwa kisheria kuwa ni adhana kumeshurutizwa kupatikana sharti zifuatazo:- 1. Muadhini awe ni Muislamu, mwanamume, mwenye akili. ... Read More
SOMO LA FIQHI Mwenye kuswali anaruhusiwa kisheria kufanya baadhi ya mambo akiwa ndani ya swala, kwa sharti kwamba kuwe na dharura ya kufanya hivyo. Anaruhusiwa ... Read More