SOMO LA FIQHI Suali: Ni zipi Aina za Najisi ? Jawabu: Najisi kwa mtazamo wa sheria zimegawanywa katika aina tatu zifuatazo : 1. NAJISI NZITO: Hii ni najisi ... Read More
SOMO LA FIQHI Tukiyaangalia maji kwa kuuzingatia wingi na uchache wake tutayakuta yamegawanyika sehemu/mafungu mawili:- 1. Maji mengi, na 2. Maji machache MAJI MENGI: Haya kwa ... Read More
SOMO LA FIQHI Mwenyezi Mungu Mtukufu ameifanya twahara kuwa ni sheria na kuwafaradhishia waja wake kwa sababu twahara humfanya muislamu aishi maisha ya unadhifu na ... Read More
SOMO LA FIQHI Suali: Vipi hutahirishwa Ardhi iliyonasika ? Jawabu: Ardhi iliyonasika hutwahirishwa kwa kuiondoa ile najisi au kwa kwa kuimiminia Maji. Kama ilivyo kuja Katika hadithi ... Read More
SOMO LA FIQHI Suali: Ni nini Maana ya najisi kiluga na kisheria? Jawabu: Maana ya Najisi kilugha Uchafu Na kisheria: Ni Uchafu ambao Sheria imeamuru uondolewe Suali: Ni zipi Sampuli ... Read More
SOMO LA FIQHI Kwanza: Maji Yenye kutwahirisha 1. Maji ya Kawaida: Nayo ni maji ambayo yamebaki katika sifa yaliyoumbiwa nayo, kama maji yanayoteremka kutoka mawinguni, ... Read More
SOMO LA FIQHI Suali: Ni nini Maana ya Twahara ki Lugha na Kisheria ? Jawabu: Utwahara kilugha Kujisafisha na kujitakasa na uchafu Utwahara kisheria Utwahara kutokana na ... Read More
KATIKA MAMBO YA KHERI NA ADABU KWA JUMLA Ikiingia jioni (yaani jua linapokuchwa wakati wa magharibi) wazuieni watoto wenu kutoka toka kwani mashetani wanatawanyika nyakati ... Read More
VIPI ALIKWA MTUME ﷺ AKIMSABBIH MWENYEZI MUNGU Imepokelewa kutoka kwa Abdalla bin Amru radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake amesema: “Nimemuona Mtume ﷺ anahesabu kumsabbih Allaah ... Read More