الحديث الثامن
“أمرت أن أقاتل الناس”
عن ابنِ عُمَرَ رضي الله عنهما أنَّ رسُوَل الله صلى الله عليه وسلم قال: [أُمِرْتُ أَنْ أُقاتِلَ النَّاسَ حتَّى يَشْهَدُوا أنْ لا إلَهَ إلاَّ اللهُ وأنَّ محمداً رسوُل اللهِ، ويُقِيمُوا الصَّلاَةَ، ويُؤتُوا الزَّكاةَ، فإذا فَعَلوا ذَلِكَ عَصَموا منِّي دِماءَهُمْ وأمْوَالَهُمْ إلا بِحَقِّ الإِسْلامِ، وحِسابُهُم على اللهِ تعالى
رَوَاهُ الْبُخَارِيُّ وَمُسْلِمٌ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى
HADITHI YA 8
NIMEAMRISHWA NIPIGANE NA WATU
Kutoka kwa Ibn ‘Umar Radhi za Allah ziwe juu yake ambaye alisema kuwa Mtume Rehma na amani zimfikie yeye kasema :
[Nimeamrishwa nipigane na watu mpaka washahadie kuwa hakuna Mungu ispokuwa Allaah alie tukuka na Muhammad ni Mjumbe wa Allaah Subhanahu Wata’ala na mpaka watakaposwali, na wakatoa zaka, na wakifanya hivyo, watakuwa wamepata himaya kwangu ya damu yao, na mali yao isipokuwa kwa haki ya Uislamu. Na hesabu yao itakuwa kwa Mwenyezi Mungu alie tukuka.]
[Imepokelewa na Al-Bukhari na Muslim]
Sikiliza sherehe ya hadithi hii na Sheikh Mahamad Rajab