0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

ARBAIN NAWAWIY HADITHI YA 7 DINI NI NASIHA

الحديث السابع


“الدين النصيحة”


عن أبي رُقَيَّةَ تَمِيمِ بنِ أوْسٍ الدَّارِيِّ رضي اللهُ عنه: أَنَّ النَّبي صلى الله عليه وسلم قالَ:[الدِّينُ النَّصِيحَةُ]. قُلْنَا: لِمَنْ ؟ قالَ: [للهِ، ولِكِتَابِهِ، ولِرَسُولِهِ، ولِلأَئِمةِ المُسْلِمِينَ، وعامَّتِهِمْ

رَوَاهُ مُسْلِمٌ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى



HADITHI YA 7


DINI NI NASIHA


Kutoka kwa Abu Ruqayyah Tamim Ibn Aus Addarry Radhi za Allah ziwe juu yake ambaye amesema kuwa Bwana Mtume Rehma na amani zimfikie yeye kasema:

[Dini ni nasiha.] Tukauliza: Kwa nani?  Akasema [Kwa Allaah, na Kitabu chake, na Mtume wake na kwa Viongozi wa Waislamu na watu wa kawaid]

[Imepokelewa na Muslim]


Sikiliza sherehe ya hadithi hii na Sheikh Mahamad Rajab sehemu ya kwanza

Sikiliza sherehe ya hadithi hii na Sheikh Mahamad Rajab sehemu ya pili

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.